Ni miaka 57 bila kocha yoyote mpya wa Real Madrid kuanza kibarua La Liga kwa ushindi wa kishindo kama alivyofanya Zinedine Ziadane wikiendi iliyopita.

Mwaka 1959 Manuel Fleitas Solich alianza kibarua kwa ushindi wa 7-1 dhidi ya Betis. Jumamos, Zinedine Zidane akaanza na onyo la ushindi wa 5-0.

Zinade mchezaji wa zamani wa Real Madrid na Ufaransa, amechukua kibarua cha kuionoa Real Madrid baada ya Rafa Benitez kutimuliwa kazi hivi karibuni.

Atletico Madrid Yakataa Ofa Ya Usajili Wa Saul Niguez
Watovu Wa Nidhamu Ligi Daraja La Kwanza Waadhibiwa