Fahamu yote yaliyojiri katika Magazeti ya Tanzania leo Januari 29, 2019. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele na kurasa za nyuma za habari za michezo na burudani.

 

Video: Chadema wamtukana Kakobe, Siri nyuma ya teuzi za JPM
Wanasheria wagoma wakipinga Rais ‘kumtumbua’ Jaji Mkuu