Karibu usome habari kubwa zilizopewa nafasi katika kurasa za mbele na kurasa za nyuma za magazeti ya Tanzania, leo, Julai 27, 2020.

Pamoja na mambo mengine, habari kuu ni kuhusu Watanzania kuaga mwili wa Rais Mstaafu, Benjamin William Mkapa katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Azam FC wafunguka mipango ya usajili KIMATAIFA
Mtuhumiwa mauaji ya kimbari Rwanda aonekana mtaani, vyombo vya habari 'vyamchoma'

Comments

comments