Jiwe kubwa zaidi kuwahi kupita karibu na dunia katika kipindi cha karibu karne moja linatarajiwa kupita karibu na sayari ya dunia umbali wa maili milioni 4.4 kwa mujibu wa kituo cha masuala ya anga za juu cha Marekani Nasa.

Florence ni jiwe kubwa zaidi kuwahi kupita karibu na dunia tangu kuanzishwa kwa mpango wa shirika la anga la Marekani NASA wa kuchunguza na kubaini mawe yaliyopo karibu na dunia.

Aidha, Uchunguzi  uliofanyika mwaka 2017 wa jiwe la angani lililopo karibu na dunia tangu mwaka 1890 ukaribu huo hautawahi kutokea hadi baada miaka 2500, kwa mujibu wa shirika la masuala ya anga la Marekani.

Hata hivyo, Wanasayansi wamesema Kitu chenye ukubwa wa jiwe kama Florence kinaweza kuwa na athari ya kugonga dunia kitu ambacho wamesema kinaweza kuiathiri dunia katika majira yake.

Bi. Hindu afariki Dunia
Magazeti ya Tanzania leo Septemba 2, 2017