Leo Oktoba 3, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi mwingine katika Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) na kumteua DKT. Anold Mathias Kihaule kuwa Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo.

Kabla ya uteuzi huo Kihaule alikuwa mhadhiri wa Chuo kikuu cha Ardhi (ARU).

Mdee adai mikopo inawaponza wabunge
Rais Magufuli ampa madaraka Mwinyi

Comments

comments