JPM atoa siku 30 kwa wadaiwa JWTZ kulipa, aonya wasiotekeleza kusakwa na jeshi kila kona, IPTL kwawaka moto, vifungu tata bajeti kilimo vyang’olewa, Jinsi watoto 700,000 wanavyokosa kunyonya wanawake wakihofia shepu, Pacha Maria na Consolata wahamishiwa Hospitalini Iringa, Nape alivyowatoa jasho mawaziri sita bungeni, Mbunge Sugu ajifananisha na mfungwa wa kisiasa-3…,Bofya kutazama habari zote zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Mei 18, 2018.

Tafiti: Vifo 85,000 vya watoto wachanga husababishwa na kukosa maziwa ya mama. 
Sugu anena alivyowashtua wafungwa, heshima aliyopewa na askari gerezani

Comments

comments