Mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika Real Madrid watakutana na Chelsea ya England katika mchezo wa Robo Fainali, baada ya kufanywa kwa Droo ya Michuano hiyo leo Ijumaa (Machi 17).

Wakati Real Madrid wakipangiwa kukutana na Chelsea, mabingwa wa Soka nchini England Man City wamepangwa kukipiga na Mabingwa wenzao kutoka nchini Ujerumani FC Bayern Munich, huku Miamba ya Italia SSC Napoli na AC Milan imepangwa kukutana. Inter Milan itaktana na SL Benfica ya Ureno.

Mshindi kati ya Real Madrid na Chelsea atakutana na mshindi kati ya FC Bayern Munich na Man City huku mshindi kati ya AC Milan na Napoli atakutana na mshindi kati ya Inter Milan na Benfica katika Hatua ya Nusu Fainali.

Michezo hiyo ya Robo Fainali itachezwa kati ya April 11 na 12 na marudiano kati ya April 18 na 19-2023.

Taifa Stars kuondoka Dar kwa mafungu
Ligi ya Tanzania inazidi kupaa Afrika, Duniani