Mwanariadha mwingine wa Urusi, Nadezhda Sergeeva amekutwa na vimelea vya matumizi ya dawa zilizopigwa marufuku michezoni katika michezo ya Olimpiki inayoendelea Pyeongchang nchini Korea Kusini.

Mwanadada huyo mwenye umri wa miaka 30 anakuwa mwanamichezo wa pili kati ya 168 walioruhusiwa kushiriki michezo hiyo kama wanamichezo huru ambao hawatumii kiashiria chochote kuwa wanatokea nchini Urusi.

Sergeeva amekutwa ametumia dawa za moyo ambazo hakupewa maelekezo yoyote na jopo na utatibu wa timu hiyo.

Yanga yalia na ugumu wa ratiba
Watatu Chelsea kuikosa Man Utd kesho