Ni penzi pekee kwenye dunia hii ambalo likikuteka na kukutesa, bado hakuna anayeweza kukuokoa zaidi ya mtesi wako huyo (penzi).

Hali hii ndiyo iliyomkuta Foby alipokuwa anawaza na kuipa hit yake ‘Niokoe’ akiwa ndani ya studio.

Foby ameielezea ‘Niokoe’ akipitia ‘mstari kwa mstari’ na jinsi alivyofikia hatua ya kuuandika.

Angalia video hapa:

Michael Jackson aibuka kinara marehemu wanaoingiza pesa ndefu
Amber Rutty apandishwa kizimbani, alalamika 'naumwa'

Comments

comments