Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemaliza ziara yake ya kikazi Mkoani Kilimanjaro na kurejea Jijini Dar es salaam, ambapo amepokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, pamoja na viongozi wengine wa mkoa wa Dar es salaam.

[huge_it_slider id=’1′]

Simba SC Vs Mbao FC Kuchezwa Dodoma
Mbao Waivutia Kasi Azam FC

Comments

comments