Matukio katika picha kutoka Moshi mkoani Kilimanjaro, Maandalizi ya mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Moshi Mjini Philemon Ndesamburo yakiendelea.

Magazeti ya Tanzania leo Juni 5, 2017
Lowassa ampa tano Rais Magufuli, ataka watanzania wamuache apitishe fagio