Viongozi mbalimbali wa Serikali wamejumuika na watanzania katika tukio la kuaga mwili wa Rais wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa ambalo linaendelea leo Jumapili hadi jumanne jijini Dar es salaam kulingana na ratiba aliyoitoa Waziri Mkuu.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi akiaga mwili wa Hayati Mkapa
Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba akiaga mwili wa Hayati Mkapa
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akiaga mwili wa Hayati Mkapa
Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia akiaga mwili wa Hayati Mkapa
Ripoti: Ni hatari kunywa pombe ukiwa nyumbani
Somalia: Bunge lapitisha kumwondoa madarakani Waziri Mkuu