Klabu ya Simba yenye makao makuu yake Mtaa wa Msimbazi jijini Dar es salaam imefanya Tamasha lijulikanalo kama ‘Simba Day’ likiwa kwaajili ya kuenzi mambo mbalimbali yanayofanywa na timu hiyo ikiwemo kutambulisha wachezaji wapya waliosajiliwa.

Aidha, Klabu ya Simba imekuwa na utaratibu wa kufanya tamasha hilo kila mwaka, ambapo huwakutanisha mashabiki na wapenzi wa timu hiyo kutoka sehemu mbalimbali kusherekea pamoja.

lo kama ‘Simba Day’ likiwa kwaajili ya kuenzi mambo mbalimbali yanayofanywa na timu hiyo ikiwemo kutambulisha wachezaji wapya waliosajiliwa.

Aidha, Klabu ya Simba imekuwa na utaratibu wa kufanya tamasha hilo kila mwaka, ambapo huwakutanisha mashabiki na wapenzi wa timu hiyo kutoka sehemu mbalimbali kusherekea pamoja.

Benki ya kilimo TADB kuinua kipato cha wakulima
LIVE: Makamu wa Rais akihutubia katika maadhimisho ya nane nane Lindi