Matokeo yanaendelea kuhesabiwa nchini Kenya ambapo mpaka tunachapisha Habari hii Mgombea wa Azimio la Umoja Raila Odinga anaongoza mbele ya Mgombea wa ODM, William Ruto ambaye amekuwa akiongoza tangu kuanza kutangazwa kwa matokeo hayo.

Wagombea hao wawili, wanaochuana vikali kati ya wagombea wanne katika kinyang’anyiro hicho, na wameuhakikishia umma kuwa watatambua matokeo yatakayotangazwa iwapo hakutakuwa na udanganyifu.

Young Africans: Hatufahamu kwa nini hatukualikwa CAF
Hassan Dilunga kurudi dimbani Januari 2023