Leo Septemba 20, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi mwingine na kumteua Balozi Mstaafu Ali Idi Siwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF).

Na uteuzi huo unaanza rasmi leo Septemba 20, 2018.

Video: Major Lazer wampa shavu Babes Wodumo kwenye ‘balance pon it’
Hii ndiyo sababu Prince William kufanya mazungumzo na Rais Magufuli

Comments

comments