Katika ujummbe wake kwenye mtandao wa Instagram Rais Samia Suluhu Hassan amempongeza Bw, Abdulrazak Gurnah kwa kutunukiwa Tuzo ya Nobel katika fasihi ya mwaka 2021.

Rais Samia amesema Tuzo hii ni heshima kwake mwandishi, Taifa la Tanzania na Afrika kwa ujumla.

Gurnah katika ukurasa wake wa Twitter amesema ameitoa tuzo hiyo kwa Afrika na waafrika wenyewe bila kuwasahau wasomaji wake.

Habari kubwa kwenye magazeti leo, Oktoba 8, 2021
Ali Kiba aweka rekodi ya kipekee Apple Music