Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amewaomba radhi Wakristo na Watanzania wote kwa ujumla waliokwazika na kauli yake aliyoitoa leo asubuhi bungeni akielezea mstari wa Biblia.

Hayo yamebainishwa leo Agosti 31, 2021 kupitia taarifa iliyotolewa na Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Kimataifa Ofisi ya Bunge jijini Dodoma.


Manara amjibu Bernard Morrison
Morrison ampa nasaha Haji Manara