Je unampa JPM asilimia ngapi katika utekelezaji wa ahadi zake?

1. Elimu bure,

 2. Milioni 50 kila kijiji, 

 3.Mahakama ya mafisadi 

4.Viwanda,

5. Utoaji mikopo kwa vijana wanaohitimu vyuo vikuu,

6. Ucheleweshaji mikopo vyuo vikuu itakuwa historia,

7. Laptop kwa walimu, 

8. Barbara ya Karatu Mbulu kujengwa Kwa Lami

9. atanunua Meli mbili kubwa kuliko MV Bukoba

10. Elimu Bure mpaka Secondary

Yapi maoni yako kuhusu ahadi hizo kama Mwananchi wa Tanzania jinsi gani umefaidika na utekelezaji wa ahadi za JPM na jinsi gani umeathirika na kutotekelezwa kwa ahadi hizo.

Jaji Warioba akosoa hali ya kisiasa nchini, ‘inaongozwa bila sera’
Prof. Lipumba asema yupo ngangari. "kilichofanyika Zanzibar ni sawa na kikao cha harusi"