Serikali imesema haisambazi umeme vijijini kwa ajili ya kuwasha taa pekee bali pia kuchochea mabadiliko katika shughuli za kiuchumi.

Waziri wa Nishati, January Makamba ameyasema hayo baada ya kutembelea kiwanda cha KUZA AFRIKA kilichopo wilaya ya Rungwe Mkoa wa Mbeya kinachochakata zao la Parachichi ili kutengeneza mafuta ambacho kimeunganishiwa umeme wa TANESCO.

Asema, uwepo wa kiwanda hicho ni matokeo ya uwekezaji unaofanywa na Serikali katika sekta ya Nishati na kuongezea thamani ya mazao ya Wakulima.

Pyno na Techno wazua gumzo kisa Amapiano
Uchaguzi wa Kenya: Jaribio jingine la Kidemokrasia