Msanii wa muziki wa Hip hop nchini, Wakazi amemtaja mkongwe wa muziki huo Afande Sele kuwa msanii anayestahili heshima Tanzania kama Legend lakini ameongeza huwa kuwa Afande Sele hana vigezo vya kuitwa msanii bora wa Hip hop kwa kuwa hana ufundi wa kutosha katika muziki huo.

Wakazi amesema rapa pekee mwenye vigezo vya kuitwa msanii bora wa Hip hop Tanzania ni Joseph Haule maarufu ka Professor Jay.

Tazama video ya mahojiano ya Wakazi hapa chini;

Wenger awatupia lawama waamuzi Uingereza
Watu 26 wauawa kwa kupigwa risasi kanisani