Nyota wa muziki wa Bongo fleva, Billnass amesema atafanya mambo makubwa jukwaani na kutoa burudani ya kipekee kwa mashabiki watakao udhuria tamasha la ‘Sports & Music’ litakalofanyika katika Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza siku ya Eid Pili mwezi huu.

Viingilio katika tamasha hilo vitakuwa ni Shilingi: 10,000/= kwa wakubwa, Sh. 3,000/= kwa watoto na Sh. 5,000/= kwa watoto wakiwa wawili.

Tazama video hapa chini Billnass akiongea na Dar 24 Media;

Urusi 2018: Nani atabeba Kombe? Tuimulike Mexico
Video: Azuiliwa hospitalini kwa miezi 5 kwa kushindwa kulipa deni la milioni 8

Comments

comments