Dude la IPTL lang’oa kigogo, Aondolewa ofisini usiku, Ripoti Makinikia kutikisa taifa leo, Upinzani waibuka na bajeti ya shilingi trilioni 29, Chadema wampa kazi mke wa Lowassa…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Juni 12, 2017. Bofya hapa kutazama

?BREAKING NEWS: Rais Magufuli Akipokea Ripoti ya Pili ya Makinikia
Magazeti ya Tanzania leo Juni 12, 2017

Comments

comments