Msanii wa Bongofleva anayekuja kwa kasi ya ajabu ameendelea kufanya vizuri baada ya kuiachia video ya wimbo wake unaokwenda kwa jina la ‘Kwako’.

G Van ambaye yupo chini ya usimamizi wa ‘Frican Music’ ameachia kazi hiyo ambayo imetengeneza na mtayarishaji wa mziki na msanii, Elly da Bway. Bofya hapa kuitazama

Video: Christian Bella sasa atamba na 'Punguza kidogo'
India yailalamikia Tanzania kwa utapeli, Mwijage kushughulikia suala hilo.