Giza nene mauaji Kibiti, Viongozi wengine wawili wauawa kwa risasi, mmoja anusurika kifo atobolewa jicho, DPP sasa asubiri faili la Lowassa, Kurudi tena Polisi leo, “Nilikwenda Polisi na kuhojiwa juu ya hotuba niliyoitoa kwa Waitara wakati wa futari, kunawatu wameitafsiri kuwa ni uchochezi, Polisi wanashaka, hivyo wanahaki ya kunihoji”, Maalim Seif atangaza adui wake wa nne…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Juni 29, 2017.

?LIVE: Waziri Mkuu akijibu maswali ya papo kwa papo Bungeni Dodoma leo Juni 29, 2017

Video: Chile yaing'oa Ureno kombe la mabara, yaitundika penati 3-0
Italia yatishia kuwatosa wahamiaji haramu kutoka Afrika