Hotuba ya Sugu yalivuruga Bunge, ‘Hapa tunafuata kanuni na mimi hapa ndiyo nina kadi, nina filimbi na nina jezi kabisa kwa sababu nyie huko mmevaa nguo za kawaida’ – Zungu, Waliogonganisha vyeti hawa hapa, Cheti kimoja, majina mawili hadi matatu, Taharuki kifo cha Hausigeli, chini ya nusu saa aliyoachwa chumbani, alikutwa maiti yenye majeraha ya visu tumboni na…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Mei 6, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojiri kwenye magazeti ya Tanzania. Bofya hapa kutazama

 

Maneno ya Mbunge Sugu Bungeni, amewataja hawa

Video Mpya: Darassa afyatuka tena, aachia video ya ‘Hasara Roho’
Wananchi Tabora washauriwa kutumia usafiri wa ndege