Baada ya kutamba na ngoma ya Bombardier Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva Prince Dully Sykes ametoa video ya ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Zoom’.

Dully sio mtu anayetoa nyimbo mara kwa mara lakini kila akija na kitu siku zote amekuwa akifanya vizuri na safari hii ngoma ya ‘Zoom’ imefanywa na mtayarishaji wa miziki Mr. T. Touch kutoka katika studio za Touch Sound huku video ya wimbo huo ikifanywa na mmoja kati ya waongozaji wakali wa video, Joowzey.

Itazame video hiyo hapa chini;

Magazeti ya ndani na nje ya Tanzania leo Juni 9, 2018
DataVision International yaunga mkono jitihada za serikali kwa vitendo

Comments

comments