Kiini cha mauaji Kibiti chaanikwa, IGP Sirro ataja historia ya miaka nane, Viongozi Chadema wanavyopishana Polisi, ni katika kipindi cha mwaka mmoja na nusu, wachambuzi wasena inaupa nguvu upinzani, Sampuli mkojo wa Manji yaibua maswali kortini…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Agosti 24, 2017. Tazama video

TFF Yaomba Radhi Kwa Kosa La Maandishi
Rais Maduro akabiliwa na tuhuma za rushwa