Mfumo maalum wa kukopesha wasanii wa sanaa za ufundi ili kuboresha mazingira yao na kutatua changamoto mbalimbali zinazo wakabili, kama vifaa na maeneo ya kufanyia kazi, Kopa Fasta tayari umeanza kuwapa matumaini wasanii wa mwenge.

Baadhi ya wasanii walionufaika, wamesema kuwa licha ya kupata mkopo bila liba, Kopa fasta haina hatua nyingi kwa mkopaji hivyo wanaokoa muda…, Bofya hapa kujua kwa undani Kopa fasta ilivyo wanufaisha wasanii mwenge.

Masauni atetea mbinu ya trafiki kujificha
Watu 41 wafariki dunia baada ya ndege kulipuka Moscow

Comments

comments