Machozi ya Akwilina, ndugu wagomea mwili wataka ripoti ya uchunguzi, Vilio vyatawala hospitali ya Taifa Muhimbili, Mbowe na vigogo sita waitwa polisi, Kamanda Mambosasa asema kuitwa ni upendeleo, walitakiwa kukamatwa, ni siku nne baada ya chama hicho kufanya maandamano…, Bofya kutazama habari zote zilizopewa uzito katika magazeti ya Tanzania leo Februari 20, 2018

Akwilina kuagwa chuoni NIT
Wanafunzi wa kike wawatoroka Boko Haram shuleni

Comments

comments