Klabu ya Manchester United kwa mara ya tatu mfululizo imeshindwa kufurukuta uwanjani katika kipindi cha juma moja baada ya mabao ya mda wa lala salama kutoka kwa mshambuliaji Juan Zuniga,Troy Deeney kuipatia ushindi .

Ni mara ya tatu mfululizo kwa Manchester United kupoteza, ikishindwa 2-1 na Manchester City,baadaye ikapoteza 1-0 dhidi ya klabu ya feyenoord ya Uholanzi katikati ya wiki katika kombe la bara Ulaya.

Watford vs Manchester United 3-1

Manchester United vs Manchester City 1 -2

Manchester United vs Feyenoord 0-1

Prof. Ngowi azungumzia suala la Serikali kuhamia Dodoma
Makonda afungua ukurasa mpya Boda boda

Comments

comments