Msiba wahamia mikoani, Arusha 13, Kilimanjaro 14, Tanga 2, Iringa 1, Manyara 1, Mbeya 1, Taifa lazizima, Arusha yasimama saa 5 ibada ya wanafunzi wa Lucky Vicent, Rufani ya Bunda kusikilizwa wiki hii, Uhakiki vyeti feki hapatoshi…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Mei 9, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojiri kwenye magazeti ya Tanzania. Bofya hapa kutazama

?LIVE: Yanayojiri Bungeni Dodoma leo Mei 9, 2017
Magazeti ya Tanzania leo Mei 9, 2017