Mwigulu aibua maswali mapya sakata la Lissu, Apata wakati mgumu kueleza kuibuka kwa matukio hayo nchini, awatoa hofu wananchi, Gari la Mbowe larejeshwa kutoka Nairobi, Bunge lafafanua, JPM achangia robo bilioni Polisi…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Septemba 29, 2017. Tazama video

Usalama wa wakimbizi Burundi mashakani
Magazeti ya Tanzania leo Septemba 29, 2017