Baada ya kichupa cha Harmonize ‘Sina’ kufanya vizuri katika chaneli mbalimbali za televisheni, ikiwemo MTV Base, Rayvany ameamua kuja na kichupa chake kipya kinachokwenda na miondoko hiyo hiyo ya sina kinachoitwa  ”chuma Ulete” kichupa hiki kinazungumzia maisha ya wapenzi ambapo mpenzi wa kike ameonekana kudai matumizi makubwa kuliko kipato cha mpenzi wake..

Wasanii chini ya lebo ya WCB wasafi wameamua kuja na miziki inayoelimisha jamii kwa namna hiyo apo,

Itazame ngoma ya Rayvany hapa chini ”Chuma Ulete”.

LIVE: Rais Magufuli akizindua stendi ya mabasi Korongwe, Tanga
Meya wa Ubungo akanusha kugombea ubunge 2020