Mtandao wa mashirika yanayopinga ndoa za utotoni(TECMN) umetoa tamko lao mapema leo 04/08/2016 kuhusu taarifa ya Serikali ya kukata rufaa juu ya kesi ya kupinga ndoa za utotoni.

Akitoa tamko mbele ya waandishi wa habari Mwenyekiti wa mtandao huo, Valerie Msoka ameeleza kuwa wamesikitishwa, Kushtushwa na Kushangazwa na taarifa hiyo ya Serikali iliyotolewa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.  Hii hapa taarifa kamili, tamko la TECMN mwanzo mwisho, Bofya hapa chini #USIPITWE

Rais amteua mkewe kuwa Makamu wa Rais
Rummenigge: Man Utd Wameshindwa Kumtumia Schweinsteiger