Utekaji watikisa mahubiri Pasaka, mauaji Polisi 8 Kibiti yalaaniwa, Maaskofu wataka waliofanya unyama huo wasakwe popote walipo, Kina Nape waonywa CCM, watakiwa kuacha kelele, kuheshimu Ikulu, Vituo vya Polisi vyafungwa kisa uhaba wa Askari Zanzibar…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Aprili 17, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Vituo vya Polisi Zanzibar vyapigwa kufuli
Prof. Kabudi kuanza na Katiba Mpya