Vimbwanga vyatawala ulipaji kodi ya majengo, Spika awalipua wapinzani bungeni, awashangaa kuliita Bunge dhaifu, asema yawezekana wana matatizo, Moto wa Takukuru, nani kufuata safari ya Keko? Tundu Lissu aona dalili za kufutwa TLS…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Julai 1, 2017.

Msanii aomba ugali dagaa ndani ya ndege
Magazeti ya Tanzania leo Julai 1, 2017