Kamati ya Usalama Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro, ikiongozwa na Mwenyekiti wake ambaye ni Mkuu wa Wilaya hiyo, Shaka Hamdu Shaka wamefika kwenye moja ya nyumba iliyopo katika Kitongoji cha Sukutali kilichopo Kijiji Cha Kimamba A, ili kukamilisha taratibu na kufukua mwili wa mke wa Mwanaume mmoja ambaye anadaiwa alimuuwa kisha kumzika uvunguni mwa kitanda.

Fluminense wamsubiri kwa hamu Thiago Silva
Young Africans yapeleka balaa Afrika Kusini