Msemaji wa Jeshi la Polisi nNchini, Naibu Kamishna wa Polisi, DCP. David Misime amesema Jeshi la Polisi linatoa tahadhari kwa wananchi juu ya watu wanaojifanya maraki mtandaooni.

Kauli hiyo, imekuja mara baada ya kuripotiwa kuwa baadhi ya watu wametapeliwa na marafiki wa mtaandoni na kusema Jeshi la hilo linatoa tahadhari kwa Wananchi.

VAR kutumika Simba Vs Young Africans
Fluminense wamsubiri kwa hamu Thiago Silva