Serikali Nchini imetangaza mabadiliko ya jina la Tume ya Taifa ya Uchaguzi – NEC, kuwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, ikiwa ni siku chache tangu muswada wa sheria ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwa Sheria rasmi, ambao uliwasilishwa Bungeni Novemba, 2023.

 

Twaha Kiduku kuzichapa na Mu-India
Sheikh Kakulukulu: Ukiharibu siku ya Eid umemuasi Mungu