Parimatch Tanzania ina furaha kubwa kuutangazia umma kuwa leo Aprili 15, 2024 kumtambulisha rasmi Haji Sunday Manara ‘El Bugati’ kuwa balozi wetu mpya. Katika ushirika huu kati ya Parimatch na Manara utaendeleza kusherehesha burudani inayoambatana na ushindi mkubwa.

Ujio wa Manara kwetu umekuwa mzuri kwani kwa sasa Parimatch ndio kampuni namba moja ya kubashiri ikiwa na ofa za kijanja na tovuti yenye muonekano mzuri, kasi kubwa huku ikiwa inatumia uwezo mdogo wa intaneti na kama hiyo haitoshi pia wateja wetu wataweza kushea mikeka yao kwa marafiki ili nao waweze kupata burudani kutoka Parimatch.

“Tumechukua hatua ya uthubutu na kumchagua Haji Sunday Manara kama balozi wetu kwa ajili ya kuzidi kupata burudani, yeye ni mtu ambaye
amepambana na ameweza kwa upande wake kulizungumzia vyema soka la Tanzania bila ya kusahau kuwapa thamani wachezaji wetu wa ndani na wa
kimataifa pindi wanapocheza katika ardhi yetu”, alisema Mkuu wa Masoko Levis Paul.

Kupitia Balozi wetu tuna hakika ataipeperusha vyema Chapa ya Parimatch kila eneo pamoja na kusaidia kutoa uelewa kwa wachezaji maana halisi ya kubeti ili wote tuweze kufurahi na kucheza kistaarabu.

“Kiukweli nilipigiwa simu na kampuni nyingi lakini katika uchunguzi wangu nikabaini kuwa Parimatch ndio kampuni bora kwangu kufanya nayo kazi kwasababu inaaminika duniani kote na katika hili nyinyi mtakuwa mashahidi wa hili, msimu uliopita walikuwa wameidhamini klabu ya Mbeya City iliyokuwa inashiriki Ligi yetu pendwa ya Tanzania na kwa msimu huu vilabu viwili vimedhaminiwa.

Ukiachilia mbali masuala ya soka hawa Parimatch pia wanathamini sana vipaji vya muziki na vichekesho vya vijana wetu na ndio sababu mnawaona hapa hawa vijana wenzangu tupo pamoja hapa Mbali na hilo Parimatch ndio kampuni kinara kwa michezo ya kubashiri mtandaoni na inapatikana zaidi ya nchi 15 duniani na ikiwa na wateja zaidi ya milioni.

Napenda kuchukua fursa hii kuwakaribisha nanyi ndugu zangu wapenda michezo ya soka kuja kujiunga na familia kubwa ya Parimatch kwani ukiwa
huku utapata kufurahi malipo ya papo hapo, Odds kubwa na masoko ya kila aina yaani ushindwe wewe tu”, alisema Manara. Pamoja na hayo, tunapenda kuwasii wapenzi wa michezo ya kubashiri waendelee kucheza nasi kupitia tovuti yetu yaani www.parimatch.co.tz kwani kuna mambo mazuri tumewaandalia na muda si mrefu wataanza kufaidi matunda ya kuwa katika familia ya Parimatch.

Kwa kumalizia niwakumbushe watanzania pamoja na wadau wote wa kubeti kuwa Kampuni ya Parimatch ndio kinara wa michezo ya kubashiri mtandaoni na imekuwa ikitoa ofa kubwa ya bonasi ya Ukaribisho ya 125% hadi kufikia TZs 1,000,000 kwa wateja wapya wanaojiunga nao! Parimatch imekuwa ikifanya kazi nchini Tanzania tangu mwaka 2019.

Ikitoa huduma nzuri ikijumuisha malipo ya haraka, odds kubwa na promosheni za kusisimua kwenye soka, Kasino na Michezo ya virtual. Mbali na soka, kampuni ya Parimatch pia hutoa mamia ya matukio kila siku kwenye tenisi, UFC, mpira wa vikapu, Kriketi, baseball na michezo mingine mingi ya Live na pre-match.

Maporomoko ya udongo yauwa 12 DRC
Bodaboda walia na mikataba kandamizi