Wamiliki wa Shule na Madereva wa Mabasi yanayotoa huduma za usafiri kwa Manafunzi wametakiwa kujiridhisha na njia wanazopita, ili kuhakikisha usalama wa Wanafunzi wanaowabeba katika vyombo vya usafiri.

Kauli hiyo imetolewa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Bungeni jijini Dodoma wakati akitoa taarifa kuhusu changamoto za hali ya hewa nchini.

Amewasihi wazazi, walezi na jamii ya Watanzania kushiriki kikamilifu katika kuhakikisha usalama wa Wanafunzi wanapokwenda na kurudi shuleni wakati wote, hasa katika kipindi hiki ambapo Mvua zinaendelea kunyesha.

Calvert-Lewin: Ushindi huu ni maalum zaidi
Mfumo Kidijitali kurahisisha huduma za Afya ngazi ya jamii