Huku duniani kuna matukio ya ajabu sana, unaweza kushangaa na kujiuliza yote haya yanafanyika kwa sababu gani, kwa faida ya nani, na huyu mtu anayefanyiwa hivyo ananufaika na kipi hasa, mimi jina langu ni Chazz, naishi Nairobi, Kenya ila nyumbani kwa wazazi wangu ni Meru, mwaka 2019 nilikuja Nairobi kutafuta kazi yoyote ya kufanya maana nilikuwa sijasoma na sina ujuzi wowote ule.

Nilifikia kwa rafiki yangu ambaye miaka ya nyuma tulisoma wote shule ya msingi, nilikaa kwake kwa muda wa miezi mitatu hadi nilipopata kazi kwa Mzee moja ambaye ni mtu aliyefanikiwa sana kimaisha, Bosi huyu alinipenda sana kama mtoto wake maana nilimsaidia sana vitu vingi, umri wake ulikuwa umekwenda ila mke wake alionekana bado ni kijana.

Walikuwa wanaishi wenyewe tu katika nyumba yao kubwa, hivyo mimi nikawa ni mtu watatu katika familia ile ambayo fedha kwao hazikuwa tatizo kwani watoto wao wanaoishi nje ya nchi walikuwa wanawatumia fedha nyingi za matumizi.

Nilikuwa nafanya kazi yangu ya kutunza bustani nje, kufanya usafi ndani kisha kupika, baada ya hapo nilikaa tu na kutazama tamthilia mbalimbali. Cha ajabu mke wa Bosi wangu wakati mume wake anakuwa hayupo alipenda kuja kukaa wenye sofa ambalo nimekaa na kujikuta tumebanana.

Aliendelea na mtindo huo hadi kuna siku akaanza kunipapasa pale sebleni, hadi akanitamkia kuwa ananipenda sana na analihitaji penzi langu. Nilimwambia siwezi kufanya kitendo kama hicho, basi baada ya siku hiyo akaanza kunichukia na kunileta visa vingi mule ndani.

Asubuhi moja ambayo siwezi kuisahau, nilikamatwa na Polisi na kufikishwa kituo cha Polisi na kuambia usiku wa jana yake nilitaka kumbaka Bosi wangu huyo!. Nilifikishwa mahakamani na kusomewa kesi ya ubakaji, baada ya miezi kadhaa nilipewa dhamana na kuwa nje kwa masharti maalumu.

Nilirejea nyumbani kwa yule rafiki yangu, akaniambia tuwasiliana na mtu anayeitwa Dr. Kiwanga atatusaidia kwani amewasaidia watu wengi kushinda kesi mbalimbali, basi tulimpigia Dr. Kiwanga kwa namba yake (+254 769404965) na kumueleza shida yangu, alinisikiliza kwa makini sana na kunifanyia tiba yake, alinihakikishia baada ya muda sio mrefu nitashinda kesi hiyo.

Niliendelea kwenda mahakamani kila tarehe ambaye kesi ile ingetajwa, nashukuru kweli niliweza kushinda kesi ile kwa kuonekana sikuwa na hatia yoyote. Sikuweza kuamini daima maana Bosi wangu alikuwa mtu mwenye fedha nyingi, hivyo ingekuwa ni vigumu sana kumshinda katika kesi ile ila nikashinda.

Dr. Kiwanga pia anatibu magonjwa sugu kama Sukari, Pressure, kisonono na kaswende, anatatua shida tofauti kama kumrudisha mpenzi wako aliyekuacha, kupata mume/mke wa ndoto zako. Kupandishwa cheo kazini, kupata kazi na dawa za nguvu za kiume, wasiliana na Dr. Kiwanga kwa namba +254 769404965, Barua pepe kiwangadoctors@gmail.com au tembelea website yake www.kiwangadoctors.com.

ICC yatoa hati ya kukamatwa kwa Rais Putin, Maria Belova
Moto wa Wikiendi Meridianbet Odds kubwa