Ukiachana na mechi ya Simba vs Horoya, Yanga vs US Monastir lakini pia ligi mbalimbali zitaendelea wikiendi hii, ni El Classico Barca vs Real Madrid nani kuondoka na alama 3 au watagawana. EPL, Serie A, Ligue 1 na Bundasliga nako kumebamba! Nogesha wikiendi yako kwa Odds kubwa za Meridianbet.

Unajiuliza ni mechi gani itakua na Odds kubwa pale Meridianbet, basi usiwaze leo nakusogezea mechi zotee za Ligi zote zenye machaguo kibao na odds nono kutoka kwa wakali wa michezo ya kubashiri mubashara na sloti za kasino ya mtandaoni kama Aviator, Poker na Roulette.

Chelsea moto umewaka saivi unaambiwa hachani tiketi yako hovyo atakuwa Stamford Bridge kukipiga na Everton, odds kubwa ni Everton 7.05 ashinde huku Chelsea mwenyeji ana 1.47 akishinda. Southampton atakipiga na Tottenham siku ya jumamosi 4.41 amepewa Soton ashinde na Spurs ana 1.81 akishinda.

Ni Wikiendi ya kibabe jiunge na Meridianbet ubashiri mechi hii ina odds kubwa, moto utaenda mbali Zaidi mpaka Italia ni Inter Milan dhidi ya Juventus yeyote hapa anakupa matokeo mazuri, Torino vs Napoli, Lazio Rome vs AS Roma nani unampa wikiendi hii?

Meridianbet wakali wa odds kubwa na kasino ya mtandaoni yenye michezo pendwa ya sloti kama Aviator, Poker na Roulette wameongeza machaguo Zaidi 1000+ kwenye mechi hizi za Ligi ya Mabingwa. Bonyeza hapa kuona machaguo Zaidi na mchanganuo wa odds kubwa bashiri mubashara.

Vinara wa EPL Arsenal wameondoshwa kwenye michuano ya Uropa, nguvu na akili zao watahamishia kwenye EPL kwani msimu huu wameonesha kuutaka ubingwa, na kazi ni moja wataingia kukipiga na Crystal Palace. Manchester united atakuwa ugenini dhidi ya Brighton na Man City akiwasha Ethiad na West Ham mechi zote hizi zina odds kubwa na machaguo 1000+ Meridianbet mabingwa wa kutoa odds kubwa na kasino ya mtandaoni.

Laliga moto wake utawaka pale Nou Camp ni El Classico Barcelona vs Real Madrid, mechi ya kwanza Barca alikufa mabao 3-1 je ataweza kulipa kisasi na kuendelea kuongoza msimamo wa Laliga? Meridianbet wanaikoleza mechi hii na odds kubwa 2.16 ya Barca vs 3.19 ya Madrid, sare ina 3.52

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

NB: Meridianbet imekuja na Jackport kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

Adai kupewa kesi ya ubakaji kwa kumkataa mke wa Bosi
Habari Kuu kwenye magazeti ya leo Machi 18, 2023