Wizara ya Fedha na Mipango kupitia kwa Waziri wake Dkt. Mwigulu Nchemba, imepunguza tozo kwenye miamala ya simu kwa asilimia 30.

Kwa upande wa tozo za miamala ya mtandao mmoja kwenda mwingine zimepunguzwa kwa asimilia 10.

Wizara ya Habari,JWTZ kuboresha uhusiano wa kimichezo
Vyumba 17 vyateketea kwa moto Kagera