Fahamu yote yaliyojiri katika magazeti ya Tanzania leo Julai 26, 2019. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele, kurasa za nyuma za habari za michezo na burudani

Sakata la rushwa lazidi kumtafuna DC Sabaya, amtaka Sawai ajitathmini
Tanzania kuiuzia mahindi Kenya