Fahamu yote yaliyojiri katika magazeti ya Tanzania leo Julai 27, 2019. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele, kurasa za nyuma za habari za michezo na burudani

Vigogo TAZARA matumbo joto, JPM aagiza uchunguzi wa matumizi ya bil. 15.3 ufanyike haraka
Wasukumwa jela miaka 20 kwa kukutwa na Nyama ya Pundamilia