Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu imetoa orodha ya Viongozi na Mawaziri wanaoapa leo Aprili Mosi 2021, kufuatia uteuzi uliotangazwa jana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.

Mbali na Mawaziri na Naibu Mawaziri hao, Rais Samia pia atamuapisha Katibu Mkuu Kiongozi mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Hussein Katanga.

Hafla ya kuapishwa viongozi hao itafanyika leo April Mosi 2021, Saa 9 Alasiri, Ikulu Chamwino, jijini Dodoma.

AS Vita Club kuwasili na wachezaji 24, Djuma Shabani aachwa
AS Vita Club kutua Dar leo