Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amefanya mabadiliko madogo katika Baraza la Mawaziri ambapo amemteua Dkt. Harrison George Mwakyembe kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.

Kufuatia uteuzi wa Mwakyembe, Rais Magufuli amemteua Prof. Palamagamba Aidan John kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Taarifa hiyo kutoka Ikulu imeeleza kuwa Wateule hao wataapishwa kesho Machi 24, 2017 Ikulu, jijini Dar es salaam.

 

 

Podolski Astaafu Kwa Heshima, Aining'iniza England
Method Mwanjali Kurejea Dimbani