Tazama hapa moja kwa moja kutoka nchini Kenya hali ilivyo baada ya Raila Odinga kuwasili nchini humo akitokea Ulaya ambapo miji mbali mbali ya nchi hiyo imetawala fujo huku Askari wakipiga mabomu ya machozi pamoja na maji ya kuwasha kutawanya maelfu ya watu wanaondamana kumpokea Odinga. Bofya hapa kutazama muda huu

BoT yakanusha Amana Bank kufungwa
Wanaobeza viwanda mtazamo wao ni finyu- Mhagama