LIVE: Rais Magufuli akihutubia wananchi wa Madaba – Ruvuma
6 years agoComments Off on LIVE: Rais Magufuli akihutubia wananchi wa Madaba – Ruvuma
Fuatilia hapa moja kwa moja kutoka Ruvuma kwenye ziara ya kikazi ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Madaba mara baada ya kuzindua kituo cha afya cha Madaba.